
Debora Shaabani ni moja ya waimbaji nyota wa nyimbo za muziki wa Injili (gospel) ! hapa nchini Tanzania.
Muziki huo kwa sasa umekuwa ukilalamikiwa na baadhi yao kuwa umevamiwa na Wanamuziki feki, Mapromota uchwara na hata malipo yao yamekuwa hayaridhishi. Wakihoji malipo zaidi ..! wanaambiwa ati hawapaswi kulipwa sana kwa sababu wanafanya kazi ya Mungu.!
Je hii ni sawa.?
