
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mfalme na mkali wa Rhymes Bongo Seleman Msindi a.k.a Afande Sele akidhihirisha ufalme wake mbele ya mashabiki lukuki kama wanavyoonekana kwenye picha.
Msanii huyo alikuwa ndani ya kundi la wasanii watatu ambalo walijiita Watu Pori, majina yao ni Dogo Ditto pamoja na Koba,lakini kwa bahati mbaya, kundi hilo limejikuta njia panda na kusambaratika kabisa, hivyo Afande Sele kuwa kivyake na Dogo Ditto na mwenzakeKoba wakiwa bado wako pamoja.
